‎#HABARI: Wadau wa elimu na wanafunzi wa Masomo ya Ukutubi na Uhifadhi wa Nyaraka, wameiomba Serikali kuongeza kasi ya matumizi ya tehama katika fani hiyo wakati wa mafunzo, ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia, hatua hiyo itasaidia kuwaandaa wahitimu kukidhi mahitaji ya soko la ajira na kuondoa changamoto ya ugumu wa kupata ajira ndani na nje ya nchi.

Wadau pamoja na wanafunzi hao wameyasema hayo Bagamoyo, mkoani Pwani, wakati wa hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mashirikiano kati ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), kupitia Chuo cha Ukutubi na uUifadhi Nyaraka na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *