“Mtu mwenye presha ya sikukuu huwa anaweza itakuwaje? Ni mtu mwenye hali ya mashaka. Utaona ni watu ambao utaona mipango yake mingi anayopanga anategemea apate mrejesho kutoka kwenye jamii. Anapozungumza unakuta mara nyingi anapangia watu. Mawazo yake mengi anayaelekeza kwa watu yanakwenda sambamba na mipango. Ni watu ambao masuala ya matumizi hawaweki tahadhari. Ni watu ambao hawafanyi maamuzi wakiwa na mipango”- John Ambrose – Mwanasaikolojia
#SentroYaCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana