Usiku wa kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo unaoambatana na nyimbo za sifa, ibada yaaani Christmas Carols hali huwa inakuwaje…
Kachero wa Usiku Kama Mchana @ntibashima_tz ametembelea moja ya eneo lililobeba usiku huo, kwa kina zaidi ni Leo, kuanzia moja na nusu usiku kwenye Sentro ya Clouds Tv….
#ukm
#usikukamamchana