#HABARI: Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo kumshikilia mkandarasi anayejenga barabara ya Msongola mpaka atakapotoa maelezo ya kutosha juu ya kukamilika kwa barabara hiyo kutokana na kuzorota katika ujenzi wake.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.