#MICHEZO: Bondia namba moja nchini Tanzania kwa uzani wa sabini na tatu kidunia, Richard Mtangi, ametamba kufanya vizuri kwenye pambano lake la kuwania mkanda wa WBO Afrika Disemba 31, 2025 dhidi ya mpinzani wake Habib Kihinde kutoka Ghana.

Bondia Mtangi amesema amejipanga vizuri kuipeperusha bendera ya Tanzania.

Powered by #MCHEZOSUPA


JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *