Wakazi wa maeneo ya Goba – Kinzudi, Dar es Salaam wameishukuru na kuipongeza kampuni ya Said Salim Bakhresa kwa kufungua duka jipya la bidhaa za Ice Cream ikiwa ni sehemu ya kampuni hiyo kufikisha huduma karibu na wateja.
Meneja masoko wa Azam Ice Cream, James Matola amezungumzia hatua hiyo ya kupeleka Ice Cream Goba.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi