Usafirishaji wa makaa ya mawe kutoka mgodi wa Ngaka mkoani Ruvuma unatarajiwa kupata ahueni baada ya kukamilika kwa daraja la mchepuko linalotarajiwa kuzinduliwa Januari mosi, 2026 na kuruhusu upitaji wa magari makubwa.

Mawazo Mwaijengo ametembelea daraja hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *