#HABARI: Wakulima wa Korosho wilayani Manyoni, mkoani Singida, wamepongeza Serikali kwa kuuza mazao kwa mfumo wa kieletroniki wa stakabadhi ghani TMX, unaomshirikisha mkulima moja kwa moja, pia kuwajumuisha wanunuzi nchi nzima na kuwasaidia wao kupata bei nzuri, tofauti na awali walivyokuwa wakiuza kiholela kwa Kang’omba ambao walikuwa wakiwapunja mapato.

Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *