Kisiwa cha Taiwan kimeongeza uwekezaji katika sekta ya ulinzi ikiwa ni hatua ya tahadhari dhidi ya mazoezi ya kijeshi yaliyofanywa na China kuzunguka kisiwa hicho.
Je, bajeti hiyo mpya inalenga kukabiliana na China
Faraja Samo ameandaa undani zaidi wa taarifa hii.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi