Kuanzia mwanzo wa mwaka mpya wa 2026, wakazi wa Mkoa wa Singida wameendelea kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika mgodi wa Azam TV, wakitumia fursa ya ofa mbalimbali zinazotolewa pamoja na upatikanaji wa ving’amuzi kwa bei nafuu.
✍Deus Liganga
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates