Wakazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo Katoro mkoani Geita wameiomba serikali kuwasaidia kupata huduma za zimamoto na uokoaji kutokana na mji huo kuwa na biashara nyingi na shughuli za uchumi.
Ombi hilo limekuja kwa mara nyingine baada ya kutokea ajali ya moto iliyoteketeza eneo maarufu la starehe na mapumziko katika mji huo.
Ester Sumira ameandaa taarifa hii hapa.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi