Februari 2025 inaweza isisahaulike katika uhai wa dereva Mtanzania, Jumanne Maganga aliyekamatwa na kufungwa nchini Sudan kwa kosa la kumgonga na kumsababishia kifo askari wa jeshi la nchi hiyo.

Ilikuwaje?

Usikose kusikiliza kiundani mkasa huo kwenye #HabariWikiendi ifikapo saa 2:00 usiku ndani ya #UTV

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *