Wananchi wa Kijiji cha Nyanguge wilayani Bariadi mkoani Simiyu, wameiomba Serikali, kurekebisha Miundombinu ya kujifunzia ikiwemo kukarabati wa vyumba vya Madarasa ambavyo ni chakavu kwa muda mrefu, pamoja na madawati katika Shule za Msingi Nyanguge A na B.