Rais wa Marekani Donald Trump amesema Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amekamatwa na kuondolewa nchini mwake.
Tangazo la Trump limejiri baada ya wanajeshi wa nchi yake kuripotiwa kutekeleza mashambulio mazito katika Mji Mkuu wa Venezuela mapema leo Jumamosi.
#CloudsDigitalupdates