NMB MAPINDUZI CUP:
Wananchi Yanga SC leo wanayaanza mashindano haya kwa kukipiga na KVZ.
Mchezo huu utachezwa saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mixhuano hii.
#NMBMapinduziCup #Azamtvsports