Zaidi ya wakazi 2000 kutoka Mkoa wa Shinyanga na maeneo ya jirani wanatarajiwa kunufaika na huduma za kibingwa za magonjwa ya pua, koo na masikio, zilizoanza kutolewa leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Kuanzishwa kwa huduma hizo ni sehemu ya juhudi za serikali za kusogeza huduma za kibingwa karibu na wananchi, kwa lengo la kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda mikoa mingine, kupunguza gharama za matibabu na kuongeza upatikanaji wa huduma za kitaalamu ndani ya mkoa.

AzamTVUpdates
✍Kasisi Kosta
Mhariri| @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *