“Na maandalizi yameshaanza kwa upande wa Serikali. Na wao ndio wanatoa ridhaa kama nchi na tumeona miundombinu inaboreshwa. Viwanja vinajengwa kwahiyo kama serikali tayari na kwa bahati mzuri tuliyopata ni kufanyika kwa michuano ya CHAN mwaka jana”- @mkazuzutza, Mchambuzi wa michezo kutoka Sports Extra ya @cloudsfmtz.
#SentroYaCloudstv
#LainiYawana
#Clouds26Nyoosha