Huyu hapa @iamkevincash akiwasha moto kwenye jukwaa la #TheSpark ndani ya Clouds TV kwa ngoma yake Teketeza aliyomshirikisha @jaivah.
Baada ya performance hii ya moto, tunajiuliza,Je, @jaivah akipanda jukwaani ataweza kuleta vibe kali kama la Kevin?
Toa maoni yako hapa 👇
Cc @missloloh_ @djfantastic255
#TheSparkShow
#clouds26nyoosha