Raia wawili wa China, Weisi Wang na Yao Licong wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na fedha taslimu zaidi ya Shilingi Bilioni Mbili na Milioni 13.
Mhariri @moseskwindi