Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani amewaonya maofisa mifugo na uvuvi nchini wanaohudumia wafugaji na wavuvi ofisini badala ywa kwenda kwenye maeneo ya uzalishaji kuwa hatua kali dhidi yao ziko njiani.

Kamani amewasisitiza maafisa hao kutatua changamoto watakazozikuta kwa wadau wao badala ya kuwalazimisha wafugaji na wavuvi kuwafuata ofisini.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *