Mchambuzi wa masuala ya uchumi, Ally Mkimo, amesema kuwa uhifadhi wa mafuta una faida kubwa kwa nchi zinazozalisha nishati hiyo, ikiwemo kukuza thamani ya fedha ya nchi na kuimarisha sera za kifedha, hasa wakati wa mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la dunia.

Mkimo amesema mafuta yanafungamana moja kwa moja na fedha za kigeni, kwani ili kuyaagiza kutoka nje, nchi hulazimika kubadilisha fedha zake kuwa za kigeni, jambo linaloongeza shinikizo kwenye sarafu ya taifa kupitia gharama za uagizaji.

✍Halima Abdallah
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *