Serikali imesema itaendelea kuwaunga mkono wadau katika kufanikisha lengo la serikali kwa wananchi kutumia nishati safi ili kuendana na lengo la serikali la taifa kufikisha zaidi ya asilimia 80 ya wananchi kutumia nishati safi ifikapo mwaka 2032.

Msisitizo huo wa serikali umetolewa na Mkurugenzi wa Nishati Safi ya Kupikia kutoka Wizara ya Nishati, Nolasco Mlay kufuatia wawekezaji kutoka Italia kuzindua mradi wa usambazaji majiko nafuu yanayotumia umeme.

Kwa upande wake mwakilishi wa shirika lisilo la kiserikali la Kitaliano la (CEFA) nchini Tanzania Cinzia D’intino na Mtaalamu wa Teknklojia ya Nishati Safi ya Kupikia, Saada Zaheer wamesema mradi huo utafanya kazi nchini kwa miaka miwili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *