Msanii wa Bongo Fleva @hamadaitz_amefichua kuwa bado ana hisia za kimapenzi kwa @linahafrica licha ya kutokubaliwa rasmi. Akizungumza kwenye kipindi cha #TheSpark, Hamadai alisema kuwa walikutana kwenye kazi ya pamoja “Nipe” na wakati wa kuitangaza, alitumia fursa hiyo kueleza hisia zake kwa Linah. Ingawa promo ilikuwa ni lengo kuu, lakini Hamadai anasisitiza kuwa hisia hizo bado zipo hadi leo ingawa bado hajakubaliwa.
Mtazamo wako upo vipi,unadhani Linah kwanini anamkataa Hamadai?
Cc @missloloh_ @djfantastic255
#TheSparkShow
#clouds26nyoosha