Mwenyekiti wa kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Mashindano ya CHAN na AFCON Bw.Leodegar Tenga akizungumza katika hafla ya kuipongeza Timu ya Taifa, Taifa Stars inayofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo inaenda sambamba na hafla ya kuwapongeza wanamichezo wote waliofanya vizuri katika michuano ya kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.