Unajua kuwa tabia ya mtu inaweza ikaisababishia matatizo familia yako?

Kama huamini ungana na kisa cha mji mdogo wa Katoro mkoani Geita ambapo tabia inayotajwa kuwa ‘mbaya’ ya balozi wa nyumba 10 inavyoifanya familia yake kutengwa na jamii.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *