Wenyeji wa kanda ya ziwa hususani mkoani Kagera wanasifika sana kwa kupenda na kitoweo cha senene na kwa sasa uvunaji wa senene umechukua sura mpya baada ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kubuni mitego ya kisayansi ambayo ni rafiki kwa mazingira.
Mitego hiyo imesambazwa na kusimikwa katika vituo tisa.
Je, manufaa ya mitego hii ya kisayansi ni ipi?
Ungana na Benson Eustace kwa simulizi zaidi.
Mhariri @moseskwindi