Yawezekana kipawa ulichonacho kinaweza kubadilisha maisha yako binafsi au maisha ya watu wengine hususani ukikitumia kwenye ubunifu.

Hilo ni miongoni mwa mambo makubwa yanayomsukuma mlemavu wa macho, Jailos Siliti aliyebuni majiko ya udongo yanayotumika kukuzia vifaranga mkoani Tabora yaliyogeuka tegemeo la wafugaji na wafanyabiashara ya ufugaji wa kuku na kanga.

Juma Kapipi amemtembelea Siliti katika makazi yake kwenye Kata ya Ipuli mkoani Tabora.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *