Serikali imesema itatumia maoni na ushauri wa vijana utakaotolewa kupitia mfumo wa kidijitali wa ‘Jukwaa la Vijana’ ili kuboresha sera na mipango ya serikali kwa vijana.
Kauli ya serikali imetolewa na Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka wakati wa uzinduzi wa jukwaa hilo uliofanyika leo Januari 10, 2026 jijini Dar es Salaam.
Mhariri @moseskwindi