Misri yaionya Israel kuhusu njama za kuwaua viongozi wa Hamas ndani ya ardhi yakeMisri yaionya Israel kuhusu njama za kuwaua viongozi wa Hamas ndani ya ardhi yake

[ad_1]

Misri imefichua njama za Israel za kuwaua viongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina, Hamas, walioko ndani ya ardhi yake, na kuionya Israel kuwa shambulio lolote la aina hiyo litachukuliwa kama “tamko la vita” na litajibiwa kwa nguvu.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *