Kampuni ya Azam Marine leo imezindua rasmi boti yake mpya na ya kisasa ya Kilimanjaro IX, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo kuboresha huduma za usafiri wa baharini nchini.

Boti hiyo, iliyojengwa nchini China kwa kipindi cha miezi 15, ina urefu wa mita 53, ina injini zenye nguvu ya horsepower 8,000 na uwezo wa kubeba abiria 631 kwa wakati mmoja.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *