Iliwahi kuandikwa katika shairi maarufu ‘Kama unataka mali, utaipata shambani’, ingawa watu wengi huamini mali hiyo ni mazao pekee lakini fumbo hilo linaweza kuwa na maana ya ‘utajiri mtambuka unaojumuisha uuzaji mazao, uuzaji pembeje za kilimo na mengineyo’.

Kwa kuliona hilo, mkazi wa Tulieni Mpanda mkoani Katavi, Emmanul Ngereja ametumia fursa ya kilimo kujiajiri kwa kubuni na kutengeneza vifaa mbalimbali vya kilimo na kujipatia kipato.

Tazama.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *