“Kila chema tunachokitaka kwenye hii dunia kinaanzia kwenye familia”- Mshauri wa Saikolojia, Uhusiano na Malezi, Bupe Mwabenga akizungumzia kuhusu ustawi wa ndoa imara ambapo amesema ili kufanya mambo mema katika jamii ni lazima kusisitiza nia njema ya familia katika ndoa.

Mwabenga amesema kabla haujaingia kwenye ndoa ni muhimu kuzingatia malengo na ndoto za familia yako.

✍I brahim Kilumbo
Mhariri | @allymufti_tz

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *