Mtaalam wa masuala ya saikolojia, Kalungu Charles, ametaja dalili za unyog’onyevu (Depression) kuwa ni pamoja na kujitenga na watu, hasira za mara kwa mara, kupoteza umakini na hamu ya kula, hali inayoweza kusababisha kupungua uzito bila mtu kujitambua.
Ameongeza kuwa ugonjwa huo unaweza kumfikia mtu hadi kufikiria kujiua, kutokana na kuhisi maisha hayana tena thamani.
Sikiliza akifafanua zaidi.
✍Halima Abdallah
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates
