Meya wa Manispa ya Kibaha ,Dkt Mawazo Nicas ambaye kwa siku za hivi Karibuni ameoneka kukonga nyonyo za wananchi wengi wa Manispaa ya Kibaha kwa namna anavyoshughulika na Utatuzi wa Changamoto za wananchi.
Akizungunza na Channel ten Katika Mahojiano Maalumu yaliyofanyika shule ya Uongozi ya Mwl Julius Nyerere iliyopo Kibaha kwa Mfipa amesema wito wake ni kuwatumia watu hasa kutatua changamoto akiwa kiongozi aliyepewa dhamana hiyo.
