Wakazi wa kijiji cha Mpembano, wilayani Sumbawanga, wamesusia kushiriki kazi za ‘songambele’ za ujenzi wa zahanati wakidai kuwa …Wakazi wa kijiji cha Mpembano, wilayani Sumbawanga, wamesusia kushiriki kazi za ‘songambele’ za ujenzi wa zahanati wakidai kuwa …

Wakazi wa kijiji cha Mpembano, wilayani Sumbawanga, wamesusia kushiriki kazi za ‘songambele’ za ujenzi wa zahanati wakidai kuwa baadhi ya viongozi na wajumbe wa kamati ya mradi huo wamehusika kuiba sehemu ya saruji iliyotengwa kwa ujenzi.

Hatua hiyo imekwamisha utekelezaji wa mradi, huku wananchi wakitaka hatua za haraka zichukuliwe dhidi ya wanaodaiwa kuhusika.

✍Sammy Kisika
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *