#MEZAHURU “….leo hii ukiniambia mimi kuhusu mitandao ya kijamii siichukulii kama watu wengine wanavyoichukulia….mimi kwa upande wangu nikikutana na mtu yeyote ambaye yuko mwaka wa kwanza chuo anataka kuwa mfanyabiashara cha kwanza nitamwambia afungue ukurasa Instagram…..” Emmanuel Masoko – Mkurugenzi Simu Kitaa
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
