Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Christian Makonda ametoa watendaji wa wizara hiyo kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Makonda Ametoa wito huo leo Januari 13, 2026 wakati wa makabidhiano ya Wizara hiyo kutoka kwa Professa Palamagamba Kabudi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu(Kazi Maalum).
#StarTvUpdate
