Wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa za uwepo wa zana za kisasa za kilimo zilizoletwa na Serikali ili kuongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao badala ya kuendelea kutumia kilimo cha jembe la mkono.
Wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa za uwepo wa zana za kisasa za kilimo zil… Wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa za uwepo wa zana za kisasa za kilimo zilizoletwa na Serikali ili kuongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao badala ya kuendelea kutumia kilimo cha jembe la mkono.