waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Januari 14, ameelekeza hospitali za Taifa, Rufaa na Mikoa kuweka utaratibu wa wagonjwa kufanya maombi ya kumuona daktari kwa njia ya mtandao ili kupunguza mida wa kukaa foleni wanapofika hospitali
Waziri Mchengerwa amefanya ziara na kufanya kikao kazi na watendaji wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya na watumishi wa sekta ya Afya wa mkoa wa Dodoma katika hospitali ya kanda Benjamin Mkapa
