Senegal kiwango bora, matokeo boraSenegal kiwango bora, matokeo bora

Senegal kiwango bora, matokeo bora. Imekuwa na mechi nzuri ikiutawala zaidi mchezo kwa asilimia kubwa,Misri wakiutafuta kwa tochi fainali za AFCON.

Bao pekee la mwamba kabisa, Sadio Mane limetosha kuipeleka fainali Senegal.

Senegal sio tu imefuzu nusu fainali bali imecheza mpira wa kitabuni ikiwa na usahihi mtamu sana wa pasi elekezi na mpango kazi mzuri wa kutengeneza nafasi ikiwamo krosi mujarabu.

Hadi hapo Senegal inasubiri mshindi kati ya Morocco na Nigeria mtanange ambao unapigwa pia dakika chache zijazo usiku huu

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *