#HABARI: Shughuli ya kupiga kura imechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda.
Awali, ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura walikuwa bado hawajaanza kupiga kura.
Zaidi ya raia milioni 21 wanatazamiwa kushiriki uchaguzi wa leo kuwachagua rais na wabunge.
Imeelezwa kwamba mashine za kuwatambua wapiga kura ndio changamoto kubwa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania