Kuelekea katika shindano la Miss & Mr UDSM, @pjsweya ametaka kujua maisha ya mwanafunzi wa chuo kikuu hicho kikongwe yapoje toka kwa William, Emmanuel; Rais Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Judith Mollel ambaye ni Project Coordinator wa shindano hilo #LiveOnClouds360 #Clouds26Nyoosha