Kijana mmoja dereva wa Bodaboda anayefahamika kwa jina la Hamis Nchambi amekutwa ameuawa na watu wasiojulikana, huku mwili wake ukiwa umetelekezwa juu ya kaburi katika makaburi ya miemba mkoani Tabora.
Tukio ambalo limevuta hisia za wananchi wengi limegunduliwa na watu ambao walifika kwenye makaburi hayo kwa lengo la kuchimba kaburi ili kumhifadhi mtu mmoja aliyefariki duni katika Kata ya Malolo mkoani humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *