Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Lidede, wilayani Nanyumbu, kwa kujitoa kujenga majengo saba ya Shule ya Msingi.
Hatua hiyo imelenga kutatua msongamano na adha ya wanafunzi kusoma katika mazingira magumu.

Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *