#MEZAHURU”…..inabidi aende mazoezi kabla hajala, itakuwa na matokeo kwa mtu anayetaka kupunguza uzito….ukila chakula halafu ukaenda mazoezi tafsiri yake chakula ulichokula huo muda ndo kitaenda kutumika kwenye mazoezi….ili tupunguze uzito twende kabla hatujala …..”-Macha Msemakweli.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania