#MEZAHURU”…..unakula vipi? Hicho ndio cha muhimu zaidi tunarudi tena kwenye vyakula kuna vyakula hutakiwi kula…..tunawaambia watu waanze kufunga kwa sababu kuna vyakula inabidi tuanze kuviondoa ambavyo sio vya muhimu sana asubuhi…..ukila vyakula vya wanga vinakupa energy ya haraka baada ya muda unasikia tena njaa itabidi uanze kutafuta cha kuokoteza….unajikuta unafanya mazoezi lakini umekula mara tatu mara nne mara tano mara sita kwa siku, hapo utakesha gym…..”-Adam Mohamed kutoka Ommy Fitness.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania