Makamu wa Rais, Dkt. Emanuel Nchimbi, kesho januari 16 anatarajiwa kuzindua jengo maalumu kwa ajili ya watu mashuhuri wakiwemo marais, lililopo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal One.
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema uzinduzi wa jengo hilo unalenga kuboresha huduma kwa viongozi na wageni mashuhuri ambao awali walikosa eneo maalumu la kupumzika pindi wanaposhuka au kusubiri ndege.
#AzamTVUpdates
Upendo Michael
Mhariri John Mbalamwezi