#HABARI: Zaidi ya wananchi 9,500 wa Kijiji cha Mugungia wilayani Iramba mkoani Singida, wameondokana na kero ya muda mrefu ya ukosefu wa mawasiliano baada ya Kampuni ya Airtel Tanzania kuzindua mnara mpya wa teknolojia ya 4G kijijini hapo.
Hatua hiyo imekuwa mkombozi kwa wakazi wa kijiji hicho na maeneo ya jirani, ambao sasa wataanza kunufaika na huduma bora za simu na intaneti, jambo linalotarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi na kurahisisha shughuli za kijamii.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.