#HABARI: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bwana Yusufu Mwenda amesema kuanza kwa mfumo mpya Februari 9, 2026 wa ukusanyaji wa kodi za ndani ambao Serikali imetumia shilingi bilioni 100 kuujenga utaondoa changamoto na malalamiko mengi ya kikodi ambayo yalikuwa yakiwabakili walipa kodi za ndani nchini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.