Ngoma ya Kiduwo ya kabila la Wahehe imejizolea umaarufu mkoani Iringa ikiwa inachezwa katika sherehe, misiba na mapokezi maalumu ya viongozi na mashujaa.
Muhammad Nyaulingo amewatembelea wenyeji wa mkoa huo na kutaka kufahamu zaidi asili, inavyochezwa na umuhimu wa ngoma hiyo kwa jamii.
Mhariri @moseskwindi